UINULIWE YESU
KARIBU KATIKA BLOG YA KWAYA YA SAUTI YA INJILI KUTOKA KATIKA KANISA LA MT. YOHANA MKOKA DODOMA
<<<
HIVI KARIBUNI TUNATENGENEZA VIDEO ZA NYIMBO ZETU ZILIZOPO KWENYE ALBAMU INAYOITWA MSIMAMO. MAOMBI YENU NI MUHIMU
>>>
Pages
Home
UONGOZI/LEADERSHIP
KAZI ZA KWAYA/ACTIVITIES OF CHOIR
MAWASILIANO/CONTACTS
RATIBA ZETU ZA IBADA>>
SAUTI YA INJILI-MKOKA
Friday, 23 February 2018
''UTANDAWAZI'' VIDEO KWA SASA INAPATIKANA YOUTUBE KARIBUNI TUITAZAME
>>>BONYEZA HAPA KUITAZAMA<<<
Kwa sasa albamu ya video ya MSIMAMO imekamilika. Wasiliana na wasambazaji wa albamu hii wanaopatikana katika mtaa unaoishi. Au fika katika kanisa la Mtakatifu Yohana lililopo Mkoka mkoani Dodoma ili uweze kupata nakala yako Original.
Saturday, 17 December 2016
HIVI KARIBUNI ALBAMU YETU MPYA YA MSIMAMO ITAINGIA SOKONI. TUNAMSHUKURU MUNGU SHUGHULI YA KU SHOOT VIDEO IMEKAMILIKA. ASANTENI NA ENDELEENI KUTUFUATILIA KWA MATANGAZO ZAIDI.
Monday, 7 November 2016
SAUTI YA INJILI KWAYA MKOKA DODOMA HIVI KARIBUNI
Saturday, 22 October 2016
MAANDALIZI YA KU-SHOOT VIDEO KATIKA ALBAM YA MSIMAMO.
Saturday, 4 June 2016
KWAYA YA SAUTI YA INJILI MKOKA DODOMA. KARIBUNI NYOTE>>>
Wanakwaya wa kwaya ya Sauti ya injili Mkoka Dodoma
UONGOZI WA KWAYA YA SAUTI YA INJILI KATIKA KANISA ANGLIKANA LA MT. YOHANA MKOKA DODOMA >>
Baadhi ya wanakwaya wa sauti ya injili wakiwa na viongozi wao wa kanisa la Mt. Yohana Mkoka Dodoma.
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)