HISTORIA FUPI YA KANISA ANGLIKANA LA MTAKATIFU YOHANA PARISHI YA MKOKA
Kanisa la Anglikana lipo katika
Dinare ya Dayosisi ya Mpwapwa. Kanisa Anglikana la Mkoka ndipo makao makuu ya
Dinare na ni makao makuu ya Parishi ya Mkoka.
Parishi ya Mkoka inaongozwa na
Mchungaji CANON PETRO RICHARD NAMGA
na Katekisti EUNICE MALIMA. Kanisa
lina kwaya tano.
1. KWAYA YA SAUTI YA INJILI
2. KWAYA YA TUMAINI
3. KWAYA YA JERUSALEMU
4. KWAYA YA UPENDO (UMAKI)
5. KWAYA YA WATOTO WA SHULE YA JUMAPILI
------------MUNGU AKUBARIKI------------
.
No comments:
Post a Comment