HISTORIA FUPI YA KANISA ANGLIKANA LA MTAKATIFU YOHANA PARISHI YA MKOKA
Kanisa la Anglikana lipo katika
Dinare ya Dayosisi ya Mpwapwa. Kanisa Anglikana la Mkoka ndipo makao makuu ya
Dinare na ni makao makuu ya Parishi ya Mkoka.
Parishi ya Mkoka inaongozwa na
Mchungaji CANON PETRO RICHARD NAMGA
na Katekisti EUNICE MALIMA. Kanisa
lina kwaya tano.
1. KWAYA YA SAUTI YA INJILI
2. KWAYA YA TUMAINI
3. KWAYA YA JERUSALEMU
4. KWAYA YA UPENDO (UMAKI)
5. KWAYA YA WATOTO WA SHULE YA JUMAPILI
------------MUNGU AKUBARIKI------------
RATIBA YETU YA IBADA
KANISA LINA JUMLA YA
IBADA TANO (5) KWA SIKU YA JUMAPILI
1. SAA 1:30 HADI SAA 3:30 ASUBUHI
2. SAA 4:00 HADI SAA 6:00 MCHANA
3. SAA 6:45 HADI SAA 7:50 MCHANA. IBADA
YA UAMSHO
4. SAA 8:00 HADI SAA 9:15 MCHANA . IBADA
YA CHIGOGO
5. SAA 9:30 HADI SAA 12:00 JIONI. IBADA
YA SIFA
_______MUNGU
AKUBARIKI_________
______MUNGU AKUBARIKI______
IBADA NYINGINE KATIKATI YA WIKI NI KAMA
IFUATAVYO:
SIKU
|
TUKIO
|
JUMATATU
|
MAFUNDISHO YA UBATIZO
|
JUMANNE
|
MAFUNDISHO YA WAMAMA
(UMAKI)
|
JUMATANO
|
MAFUNDISHO YA VIJANA
|
ALHAMISI
|
FARAGHA YA MAFUNDISHO
YA KIROHO
|
IJUMAA
|
MAFUNDISHO YA KIROHO
|
JUMAMOSI
|
MAANDALIZI YA IBADA YA JUMAPILI (USAFI NA KUPAMBA KANISA)
|
______MUNGU AKUBARIKI______
No comments:
Post a Comment