UINULIWE YESU

UINULIWE YESU
KARIBU KATIKA BLOG YA KWAYA YA SAUTI YA INJILI KUTOKA KATIKA KANISA LA MT. YOHANA MKOKA DODOMA <<<HIVI KARIBUNI TUNATENGENEZA VIDEO ZA NYIMBO ZETU ZILIZOPO KWENYE ALBAMU INAYOITWA MSIMAMO. MAOMBI YENU NI MUHIMU>>>

Friday, 23 February 2018

''UTANDAWAZI'' VIDEO KWA SASA INAPATIKANA YOUTUBE KARIBUNI TUITAZAME


>>>BONYEZA HAPA KUITAZAMA<<<

Kwa sasa albamu ya video ya MSIMAMO imekamilika. Wasiliana na wasambazaji wa albamu hii wanaopatikana katika mtaa unaoishi. Au fika katika kanisa la Mtakatifu Yohana lililopo Mkoka mkoani Dodoma ili uweze kupata nakala yako Original.






No comments:

Post a Comment